Hakika tumeona Tumeuona
Mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu Watu unawainua Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, Milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako Tumeuona, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali, Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, Watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele.