Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Jul 11, 2020 #61,721 Tanzania ni yetu sote...
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Jul 11, 2020 #61,722 The Wolf said: Ha ha, siyo mambo yangu chief, closer to the bone, the sweeter the meat Click to expand... Ilikuwa wapi hiyo.
The Wolf said: Ha ha, siyo mambo yangu chief, closer to the bone, the sweeter the meat Click to expand... Ilikuwa wapi hiyo.
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,445 Reaction score 20,822 Jul 11, 2020 #61,723 Gallius said: View attachment 1504095 Tanzania ni yetu sote... Click to expand... hamna kubagua vyama, niko na mbunge mtarajiwa wa chama tawala
Gallius said: View attachment 1504095 Tanzania ni yetu sote... Click to expand... hamna kubagua vyama, niko na mbunge mtarajiwa wa chama tawala
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,445 Reaction score 20,822 Jul 11, 2020 #61,724 Gallius said: Ilikuwa wapi hiyo. Click to expand... Hii ilikuwa Juliana chief
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Jul 11, 2020 #61,725 The Wolf said: hamna kubagua vyama, niko na mbunge mtarajiwa wa chama tawalaView attachment 1504097 Click to expand... Awamu hii yeyote atakayepitishwa na chama chatala anapita kwa kura nyingi sana.. Msalimie sana Mh. Mbunge.. Mwambie aandae ng'ombe na bia nyingi sana...
The Wolf said: hamna kubagua vyama, niko na mbunge mtarajiwa wa chama tawalaView attachment 1504097 Click to expand... Awamu hii yeyote atakayepitishwa na chama chatala anapita kwa kura nyingi sana.. Msalimie sana Mh. Mbunge.. Mwambie aandae ng'ombe na bia nyingi sana...
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Jul 11, 2020 #61,726 The Wolf said: Hii ilikuwa Juliana chief Click to expand... Wanapasifia sana hapo. Hivi huwa kuna happen kweli?
The Wolf said: Hii ilikuwa Juliana chief Click to expand... Wanapasifia sana hapo. Hivi huwa kuna happen kweli?
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,445 Reaction score 20,822 Jul 11, 2020 #61,727 Gallius said: Awamu hii yeyote atakayepitishwa na chama anapita kwa kura nyingi sana.. Msalimie sana Mh. Mbunge.. Click to expand... Ha ha mpaka apite sasa...
Gallius said: Awamu hii yeyote atakayepitishwa na chama anapita kwa kura nyingi sana.. Msalimie sana Mh. Mbunge.. Click to expand... Ha ha mpaka apite sasa...
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,445 Reaction score 20,822 Jul 11, 2020 #61,728 Gallius said: Wanapasifia sana hapo. Hivi huwa kuna happen kweli? Click to expand... Fanya usogee hata leo kwangu mimi juliana ni noma sana mkuu
Gallius said: Wanapasifia sana hapo. Hivi huwa kuna happen kweli? Click to expand... Fanya usogee hata leo kwangu mimi juliana ni noma sana mkuu
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Jul 11, 2020 #61,729 The Wolf said: Ha ha mpaka apite sasa... Click to expand... Kama alifanya vizuri na anakubalika na wananchi anapita... Agenda ya sasa awe msomi na akubalike katika jimbo husika... Akitanguliza pesa kwa wanakamati wanakula kichwa najua ushajua namaanisha nini vipepeo wapo wanaangalia kila kitu...
The Wolf said: Ha ha mpaka apite sasa... Click to expand... Kama alifanya vizuri na anakubalika na wananchi anapita... Agenda ya sasa awe msomi na akubalike katika jimbo husika... Akitanguliza pesa kwa wanakamati wanakula kichwa najua ushajua namaanisha nini vipepeo wapo wanaangalia kila kitu...
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Jul 11, 2020 #61,730 The Wolf said: Fanya usogee hata leo kwangu mimi juliana ni noma sana mkuu Click to expand... Nipo mzigoni boss jana, leo na kesho naingia usiku...
The Wolf said: Fanya usogee hata leo kwangu mimi juliana ni noma sana mkuu Click to expand... Nipo mzigoni boss jana, leo na kesho naingia usiku...
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Jul 11, 2020 #61,731 Depal said: Usisahau kunitag Click to expand... Saint Anne Zoë mkuye mkuye mama wawili sasa hivi naweka
Depal said: Usisahau kunitag Click to expand... Saint Anne Zoë mkuye mkuye mama wawili sasa hivi naweka
LadyRed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 9,636 Reaction score 11,507 Jul 11, 2020 #61,732 Jmn mbona maneno sana wkt huu uzi wa picha tu?. Turudi huku kwny snap it showww it
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Jul 11, 2020 #61,733 Nimeweka hamjaja. Nafuta
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,445 Reaction score 20,822 Jul 11, 2020 #61,734 Gallius said: Kama alifanya vizuri na anakubalika na wananchi anapita... Agenda ya sasa awe msomi na akubalike katika jimbo husika... Akitanguliza pesa kwa wanakamati wanakula kichwa najua ushajua namaanisha nini vipepeo wapo wanaangalia kila kitu... Click to expand... New comer ila msomi kweli kweli
Gallius said: Kama alifanya vizuri na anakubalika na wananchi anapita... Agenda ya sasa awe msomi na akubalike katika jimbo husika... Akitanguliza pesa kwa wanakamati wanakula kichwa najua ushajua namaanisha nini vipepeo wapo wanaangalia kila kitu... Click to expand... New comer ila msomi kweli kweli
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,445 Reaction score 20,822 Jul 11, 2020 #61,735 Gallius said: Nipo mzigoni boss jana, leo na kesho naingia usiku... Click to expand... Poa kaka, piga kazi
Gallius said: Nipo mzigoni boss jana, leo na kesho naingia usiku... Click to expand... Poa kaka, piga kazi
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Jul 11, 2020 #61,736 The Wolf said: New comer ila msomi kweli kweli Click to expand... Kila la kheri kwake Mkuu. Hope mbunge aliyekuwepo sio tishio kwake... Unakuta vijana wengine ni wabishi hasa, jimbo yupo Mh. Ndungai nae anaenda kutia nia Ila awamu hii nimependa sana vijana kuwa na muitikio..
The Wolf said: New comer ila msomi kweli kweli Click to expand... Kila la kheri kwake Mkuu. Hope mbunge aliyekuwepo sio tishio kwake... Unakuta vijana wengine ni wabishi hasa, jimbo yupo Mh. Ndungai nae anaenda kutia nia Ila awamu hii nimependa sana vijana kuwa na muitikio..
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Jul 11, 2020 #61,737 LadyRed said: Jmn mbona maneno sana wkt huu uzi wa picha tu?. Turudi huku kwny snap it showww it View attachment 1504113 Click to expand... Weka picha yako hata ya mguu basi mrembo
LadyRed said: Jmn mbona maneno sana wkt huu uzi wa picha tu?. Turudi huku kwny snap it showww it View attachment 1504113 Click to expand... Weka picha yako hata ya mguu basi mrembo
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jul 11, 2020 #61,738 amu said: Saint Anne Zoë mkuye mkuye mama wawili sasa hivi naweka Click to expand... Nasubiri Sent using Jamii Forums mobile app
amu said: Saint Anne Zoë mkuye mkuye mama wawili sasa hivi naweka Click to expand... Nasubiri Sent using Jamii Forums mobile app
LadyRed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 9,636 Reaction score 11,507 Jul 12, 2020 #61,739 Gallius said: Weka picha yako hata ya mguu basi mrembo Click to expand...
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Jul 12, 2020 #61,740 LadyRed said: View attachment 1504131 Click to expand... Upo na miguu mizuri mno Hongera mno... Nitatangaza Ndoa yetu humu ndani mimi na wewe...
LadyRed said: View attachment 1504131 Click to expand... Upo na miguu mizuri mno Hongera mno... Nitatangaza Ndoa yetu humu ndani mimi na wewe...