Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
T 1990 ELY
Hahah for realY'all got it good.
Safi sana aisee! Unapiga 200,000/=Baada ya msoto flani ni mda wa bata sasaView attachment 1503215
Ha ha unapiga 50k, unavunja 10k kwenye serengeti light am safari ndogo kama 6 hiviSafi sana aisee! Unapiga 200,000/=
Unatumia kwanza 50,000/=
Mzee wangu wa ukweliBest ever president, after Nyerere View attachment 1503225
kwa Wanaume wenye maamuzi magumu lazima aeleweke, haina kulaza damuMzee wangu wa ukweli
kwa Wanaume wenye maamuzi magumu lazima aeleweke, haina kulaza damu
Kiboko yao huyoHa ha siasa isije kutugawa, twende na photo ,kuna michongo hapa![]()
Kiboko yao huyo
Mkuu naona umeshusha nyavu unavua samakiHa ha siasa isije kutugawa, twende na photo ,kuna michongo hapaView attachment 1503240
Its weekendddddHa ha siasa isije kutugawa, twende na photo ,kuna michongo hapaView attachment 1503240
Mmmmmmmh kumbe uko tips lol, hongera sanaaahAliye karibuView attachment 1503288
Hongera ya nini?hapo ni chimbo tuu la kila sikuMmmmmmmh kumbe uko tips lol, hongera sanaaah