Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,269 Jun 27, 2020 #61,241 T 1990 ELY said: Aiseeee!! Kwema lakini mkuu Click to expand... Kwema, habari ya W/ kend?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,940 Reaction score 831,459 Jun 27, 2020 Thread starter #61,242 Old pic.. Wakati Jr nilipokuwa kijana Attachments Screenshot_20200524-102231.jpg 30.6 KB · Views: 28
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Jun 27, 2020 #61,243 CONTROLA said: Ni mbali lakini nikikupa nauli si unafika et? June Junuuun... timiza ahadi kwanza.. .. .. Click to expand... sawa rafiki
CONTROLA said: Ni mbali lakini nikikupa nauli si unafika et? June Junuuun... timiza ahadi kwanza.. .. .. Click to expand... sawa rafiki
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,936 Reaction score 30,099 Jun 27, 2020 #61,244 Depal said: Kwema, habari ya W/ kend? Click to expand... Habari ya W/kend njema tu mpendwa Nipo nafurahia uumbaji wa nchi na vilivyomo
Depal said: Kwema, habari ya W/ kend? Click to expand... Habari ya W/kend njema tu mpendwa Nipo nafurahia uumbaji wa nchi na vilivyomo
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,801 Reaction score 43,177 Jun 27, 2020 #61,245 Mshana Jr said: Old pic.. Wakati Jr nilipokuwa kijanaView attachment 1490461 Click to expand... Busu la bi. Kasinde litue kwenye vioo vya miwani.
Mshana Jr said: Old pic.. Wakati Jr nilipokuwa kijanaView attachment 1490461 Click to expand... Busu la bi. Kasinde litue kwenye vioo vya miwani.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jun 28, 2020 #61,246 That view..... Kjjn raha saana
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Jun 28, 2020 #61,247 Paula Paul said: View attachment 1491358 Click to expand... Hivi Paula kijiwe chako maalum ni kipi hasa my dear
Paula Paul said: View attachment 1491358 Click to expand... Hivi Paula kijiwe chako maalum ni kipi hasa my dear
Paula Paul JF-Expert Member Joined Oct 23, 2019 Posts 4,649 Reaction score 13,623 Jun 28, 2020 #61,248 Zoë said: Hivi Paula kijiwe chako maalum ni kipi hasa my dear Click to expand... "Kijiwe" unamaanisha nini Zoë? .
Zoë said: Hivi Paula kijiwe chako maalum ni kipi hasa my dear Click to expand... "Kijiwe" unamaanisha nini Zoë? .
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Jun 28, 2020 #61,249 Paula Paul said: View attachment 1491358 Click to expand... Guu guu tena guu la bia ng'wanawane
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Jun 28, 2020 #61,250 Paula Paul said: "Kijiwe" unamaanisha nini Zoë? . Click to expand... Ooh I mean jukwaa ambalo au uzi ambao wewe huwa unacomment sana humu jf
Paula Paul said: "Kijiwe" unamaanisha nini Zoë? . Click to expand... Ooh I mean jukwaa ambalo au uzi ambao wewe huwa unacomment sana humu jf
Paula Paul JF-Expert Member Joined Oct 23, 2019 Posts 4,649 Reaction score 13,623 Jun 28, 2020 #61,251 Zoë said: Ooh I mean jukwaa ambalo au uzi ambao wewe huwa unacomment sana humu jf Click to expand... International Forum Zoë na pia Forums nyingine nachangia nikiziona kwenye New posts.
Zoë said: Ooh I mean jukwaa ambalo au uzi ambao wewe huwa unacomment sana humu jf Click to expand... International Forum Zoë na pia Forums nyingine nachangia nikiziona kwenye New posts.
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,884 Reaction score 51,698 Jun 28, 2020 #61,252 Mshana Jr said: Old pic.. Wakati Jr nilipokuwa kijanaView attachment 1490461 Click to expand... Hapa ni wakati bado hujapewa mikoba ya ulonzi, ulikua unapendeza kama yesu, ila baada ya kupewa kijiti tu cha kamanda wa anga ukawa ka lucifer
Mshana Jr said: Old pic.. Wakati Jr nilipokuwa kijanaView attachment 1490461 Click to expand... Hapa ni wakati bado hujapewa mikoba ya ulonzi, ulikua unapendeza kama yesu, ila baada ya kupewa kijiti tu cha kamanda wa anga ukawa ka lucifer
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,884 Reaction score 51,698 Jun 28, 2020 #61,253 Paula Paul said: View attachment 1491358 Click to expand... Umependeza sana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,940 Reaction score 831,459 Jun 28, 2020 Thread starter #61,254 Kasie said: Busu la bi. Kasinde litue kwenye vioo vya miwani. Click to expand...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,940 Reaction score 831,459 Jun 28, 2020 Thread starter #61,255 Iceberg9 said: Hapa ni wakati bado hujapewa mikoba ya ulonzi, ulikua unapendeza kama yesu, ila baada ya kupewa kijiti tu cha kamanda wa anga ukawa ka lucifer Click to expand...
Iceberg9 said: Hapa ni wakati bado hujapewa mikoba ya ulonzi, ulikua unapendeza kama yesu, ila baada ya kupewa kijiti tu cha kamanda wa anga ukawa ka lucifer Click to expand...
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jun 28, 2020 #61,256 CONTROLA said: Za masiku nzuri sana,Halafu sijapotea mbona wewe mwenyewe shahidi ktk hili,kwenye hilo ombi lako labda atokee mwingine wa kuomba lkn wewe ntaomba urejee pm ya Jan 22, 2020 Click to expand... Basi mimi natuma hilo ombi mpendwa
CONTROLA said: Za masiku nzuri sana,Halafu sijapotea mbona wewe mwenyewe shahidi ktk hili,kwenye hilo ombi lako labda atokee mwingine wa kuomba lkn wewe ntaomba urejee pm ya Jan 22, 2020 Click to expand... Basi mimi natuma hilo ombi mpendwa
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Jun 28, 2020 #61,257 Paula Paul said: International Forum Zoë na pia Forums nyingine nachangia nikiziona kwenye New posts. Click to expand... Oohh that's great Haujambo lakini wewe
Paula Paul said: International Forum Zoë na pia Forums nyingine nachangia nikiziona kwenye New posts. Click to expand... Oohh that's great Haujambo lakini wewe
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,884 Reaction score 51,698 Jun 28, 2020 #61,258 Kasie said: Busu la bi. Kasinde litue kwenye vioo vya miwani. Click to expand...
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Jun 28, 2020 #61,259 Heaven Sent said: Basi mimi natuma hilo ombi mpendwa Click to expand... Na maombi ya wenzio usiyasahau siyo unatuma yako tu mpendwa
Heaven Sent said: Basi mimi natuma hilo ombi mpendwa Click to expand... Na maombi ya wenzio usiyasahau siyo unatuma yako tu mpendwa
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jun 28, 2020 #61,260 Hahaaaha nilitarajia tu utanijungua. Uvumilivu ni tunda la roho Zoë said: Na maombi ya wenzio usiyasahau siyo unatuma yako tu mpendwa Click to expand...
Hahaaaha nilitarajia tu utanijungua. Uvumilivu ni tunda la roho Zoë said: Na maombi ya wenzio usiyasahau siyo unatuma yako tu mpendwa Click to expand...