Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Eti vumbi moja hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]8 8 sijawahi kanyaga. Magari yangu nilikuwa napandia area C tu (ABC na first choice) nasikia kuna vumbi moja la hatari huko 8 8
Pabaya kama sabasaba