Itabadilika tuu baada ya muda usiwe na presha mama, afterall i changed my name siyo kwa sababu nnajificha, i notified kila mtu kwenye huu uzi kuwa nnabadili jina, to the wolf, tena kwa miaka mitano ijayo

Wewe ulikuwa unafahamu hilo?
Nilikuwa nakupa taarifa tu.
Unaweza kuwa ulikuwa hujui.
Na ni njia mojawapo pia ya uongozi wajue mapungufu ya app warekebishe.