Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,256
- 95,505
Eid Mubarak ,mambo ya porini haya
Gomba [emoji91]
Gofo.mba
Dah! Nilidhani leo ningesafisha kope kwa kuona picha za matukio mengi ya mjini kwa Makonda ila sasa ni kama tuko Mwanza wote!Huu uzi maneno yamekuwa mengi kushinda picha.
Huyu ndugu kaangukia pabayaa, watu wamemtafsiri vibaya sema ndiyo ujue sasa hali ya Tanzania kiuchumi ni tata sana
kaka mkubwaa, sawa sawa