Hahahaha, Mkuu umenishtukiaAah wapi
Jr![]()
Hahahaha, anawaza au kichwa kinauma, mambo yanavyomvuruga
Hahahaha, siku nitakushangaza humuMnoo..
Jr![]()
HahahahaSidhani brother.. Sidhani
Jr![]()
Kesho tu nitaiweka fasta.
Weka Leo mkuuKesho tu nitaiweka fasta.
Baada ya maombi nitakuja na shangwe ili kutekeleza agizo la mamlaka za nchi yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks sister

Mdogo wangu!!!!Thanks sister
Naomba na wewe uweke yako
Sijawahi kuiona hata kwa bahati mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule kote nilishapanda na sikuikuta.Mdogo wangu!!!!
Mbona ipo!!!!panda juu mwanzo mwanzo kule wakati uzi umeanza.. ukiikosa niambie .
Sent using Jamii Forums mobile app

Ahsante Mdogo wangu Mzuri mzuri!!!Kule kote nilishapanda na sikuikuta.
Wewe ni miongoni mwa members ninaowapenda Sana humu, tafadhali naomba nione japo picha yako
Sent using Jamii Forums mobile app