[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hivi mbona wakaka siku hizi mnakuwa wazuri kulilo sisi dada zenu jamani
Ila we binti una kamguu kazuri. Tubadilishane basi.View attachment 1454041
[emoji124]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeedit kaangalie tena, nilimaanisha mnazaliwa wazuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma sana , Sentensi tata .
Sent using Jamii Forums mobile app
Majukumu mengi. Inatakiwa wasubiri mimi nikishaziona ndiyo wafute waache uchoyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeedit kaangalie tena, nilimaanisha mnazaliwa wazuri.
Seriously yaani wadada tukipiga selfie hadi tuedit ila wakaka wengi naona wanapiga selfie casual tu hawaedit chochote na wanatoka wazuri.
ya kitambo afu sio mimi eti 😝 nilikuwa mpiga picha apoKula bata
Jr[emoji769]
Yeah ila atleast huwa hamjiedit na mnatokelezeaSisi Black and white ndio tunatokelezea kidogo , tukiweka ile hadi ina rangi ya ndevu utakimbia [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
NdiyoMule mule tuu.... Ulikuwepo pia
Jr[emoji769]
Kasa sana ni mafia,unguja na pemba,Kasa sijawahi kula
Unipikie siku moja asee.Kasa sana ni mafia,unguja na pemba,
Huku hata mkunga tu wanamuogopa hawali
Majukumu mengi. Inatakiwa wasubiri mimi nikishaziona ndiyo wafute waache uchoyo.