Aisee nipo nimeji isolate ila kiu imenikamata, nilivyotoka juzi kati nikaona nichukue na throat sanitizer, i am not going to die soon anyway, not with covid-19...
Hii Corona ya kisen... sana. Nimemaliza Netflix yote. Nimekunywa beer hadi nimechoka. Twitter hamna hata issue. jamii forum siku hizi imekuwa ya kidwanzi, kina Paschal wanapost ujinga ujinga tu. Warembo wanaogopa Corona.
Aisee nipo nimeji isolate ila kiu imenikamata, nilivyotoka juzi kati nikaona nichukue na throat sanitizer, i am not going to die soon anyway, not with covid-19...View attachment 1453662