Duuh hii app mpya inanipa shida sana. Nimeshazoea alama ya kulike ipo kushoto halafu ya kuquote ipo kulia sasa walivyobadilisha kila saa najichanganya nabonyeza kushoto inakuja quote daah.