Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Heri waninyonge kuliko kuamka saa9 kusubiri picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe nitakuamshaa
Hata mie sina uhakika. Huo muda kama nitaingia humu nitasave.
🤣🤣🤣 basi nitakuletea hakikisha pm iko wazi muda huoHeri waninyonge kuliko kuamka saa9 kusubiri picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika siwezi kosaHuyu mzee wa kuscreenshot atakuwa nayo Mjep
Haya peaneni na mwenzioHakika siwezi kosa
Labda ufanye hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi nitakuletea hakikisha pm iko wazi muda huo
Hahahaaa bahati mbaya sana likes za kwenye comments zilizofutwa huwa hazihesabiki mkuuKuna warembo kama wawili watatu hivi nawavizia niwaone picha zao lakini kila nikiingia nakuta wameweka na kufuta asee.
Eenyi warembo msinifanyie hivyo jaribuni kusubiri hata like zangu tu kisha ndio mfute hizo picha
Kati ya hao na wewe ni mmoja wapo ujueHahahaaa bahati mbaya sana likes za kwenye comments zilizofutwa huwa hazihesabiki mkuu
NB: Sijasema mimi ni mmoja wa hao warembo
poleKuna warembo kama wawili watatu hivi nawavizia niwaone picha zao lakini kila nikiingia nakuta wameweka na kufuta asee.
Eenyi warembo msinifanyie hivyo jaribuni kusubiri hata like zangu tu kisha ndio mfute hizo picha
Mida ya wanga, tushushe vitu mkuuWamelalaaa
Nakuona toka mchana unashusha vitu kwa maneno[emoji23]Mida ya wanga, tushushe vitu mkuu
Hizi picha asubuhi huwa zinatoweka katika mazingira ya kutatanisha sana.
Hii kaficha sura hata akiiacha hakuna shidaHizi picha asubuhi huwa zinatoweka katika mazingira ya kutatanisha sana.