Mkuu Kama iringa hivi hapoDah! Jana usiku ulikuwa ni usiku mbaya sana.
Nimeota tumevamiwa na simba dume.
Badala ya kugangamala tupambane naye, kila mtu akatawanyika.
Halafu mbio za usingizini hovyo sana. Mtu unakimbia taratibu sana halafu kwa mbinde huku simba yuko nyuma yako.
Baadaye kidogo ndo unastuka na kuona kuwa ilikuwa ni ndoto tu.
Ndoto imenivuruga.
View attachment 1445810
Nimeamua nije hapa nizimalizie hasira zangu kwenye hii makitu.
View attachment 1445818
Hivi ostaz umeweka picha yako?Chabo ni uraibu uliowaponza wengi View attachment 1445697
Haha huwa wanasema eti ukiota unakimbia hivyo taratibu ujue ulilala umekunja miguuDah! Jana usiku ulikuwa ni usiku mbaya sana.
Nimeota tumevamiwa na simba dume.
Badala ya kugangamala tupambane naye, kila mtu akatawanyika.
Halafu mbio za usingizini hovyo sana. Mtu unakimbia taratibu sana halafu kwa mbinde huku simba yuko nyuma yako.
Baadaye kidogo ndo unastuka na kuona kuwa ilikuwa ni ndoto tu.
Ndoto imenivuruga.
View attachment 1445810
Nimeamua nije hapa nizimalizie hasira zangu kwenye hii makitu.
View attachment 1445818
Hivi ostaz umeweka picha yako?
Hivi una upacha na kiligoland wa skyscrapercity4 years Ago, I took these photos in Downtown Dar.
View attachment 1445498
Sent using Jamii Forums mobile app
kanisa la mango👏👏👏
Nimehama wapi?