Nilichomwa na mwiba wa samaki kama wiki moja nyuma, ila mpaka leo bado nasikia maumivu flani nikipabonyeza. Hii no normal kweli, au ndio tunaelekea kupoteza mkono kimasihara? Nimepafungua mara kadhaa lakini sioni kitu.
View attachment 1438958
View attachment 1438970
View attachment 1438966