Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani acha tu nilikuwa nishaanza kuboreka napitiwa na kausingizi simu iko mkononi ghafla nasikia mlio wa notifications zinamiminika kama zote nikasema hapana hii siyo whatsapp wala kitu kingine, kucheki hivi JF nikasema weweeeee.
Natamani nimnyanyue Melo juu kwa furaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Notification mpak kwenye bar 😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada wewe ndiyo hauko serious kabisa, walituahidi mei mosi wanaachia msosi ila naona wameshaanza kutuonjesha kwanza jikoni kabla msosi haujafika mezani.
Hahahahah
Kama wapo serious, ziko wapi tenaaa!!
Hawa nishawazoea mimi jamani!! Nisipoona notifications naenda browser najibu then narudi kwenye app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…