Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,175
- 829,138
- Thread starter
- #55,741
Anastahili zawadi lakini iwe kubwa kuliko hii
Jr
Hiyo nyingine inayoonekana ameianzisha Zoë hakuanzisha bali jf walijichanganya nadhani baada ya kuona ni mchangiaji bora kabisa kipindi hiko wakamtunuku na nyuzi..
Nadhani kuna tatizo la ufundi lilitokea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jr


