Kama umenitukana basi mwenyewe.....Burundi Bwacu, Burundi buhire,
Shinga icumu mu mashinga,
Gaba intahe y'ubugabo ku bugingo.
Warapfunywe ntiwapfuye,
Warahabishijwe ntiwahababuka,
Uhagurukana, uhagurukana, uhagurukana, ubugabo urikukira.
Komerwamashyi n'amakungu,
Habwa impundu nabawe,
Isamirane mu mashinga, isamirane mu mashinga,
Burundi ..........................
Mnanyolea sh ngapi? Maana hii buku naona inanitoa roho, hopefull nyie mtakuwa na bei rahisi kidogo.Huamini ?
Come n give it a try
😂😂😂😂 ndo lengo lake kumbeSangoma kumbe una kiatu kizuri hivyo!
Tunatoa offer ya msimu wa Easter ya corona kwa week mbiliMnanyolea sh ngapi? Maana hii buku naona inanitoa roho, hopefull nyie mtakuwa na bei rahisi kidogo.
SawaKama umenitukana basi mwenyewe.....
Fafanua zaidiHebu subiri kwanza, hili koti mbona jipya ila mtu wa zamani?
Uwe na huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu tu limenichekesha.
Mmmmh!!Tunatoa offer ya msimu wa Easter ya corona kwa week mbili
Tunanyoa bure
Id yako ya siku zote ni gani?Fafanua zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwe na huruma
Ha ha ha.. Nasubiria jibu lakeHivi kajibu hili swali?
Ngoja nami nikaweke way nione venye inakuwa.
Mimi mwenyewe nimeshituka.Hebu subiri kwanza, hili koti mbona jipya ila mtu wa zamani?
Mnanyolea sh ngapi? Maana hii buku naona inanitoa roho, hopefull nyie mtakuwa na bei rahisi kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saloon yenyewe umesikia jina lake lakini? Kuna kunyolewa kweli hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwenyeji kabisa yaani.Mimi mwenyewe nimeshituka.
Kuna swali nimemuuliza linataka kufanana kama lako.. nasubiri anijibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakufundisha Kuimba!!Uwii naomba Mungu anishikilie hivi hivi hadi huu mwaka uishe nisije ita mtoto wa mtu "my everything" au kumuimbia mashairi ya uongo na kweli kama hayo, kwanza hata sijui kuimba. [emoji41][emoji41]
Mbona mmmmmhMmmmh!!