Nywele natural kutunza kazi, by the way nilitakaga nifuge dreads kama wale rastafarians, ila nikaambiwa zile ndiyo zinahitaji matunzo kuliko ninavyodhani, nikasema mwee sasa si bora ninyoe tu kuliko kuruka majivu halafu nikakanyage mikaa ya moto.
We nikaribishe kundini tu kwa amani kabisa, maana kurudi kusuka tena ni majaaliwa.