Selfika na JF: Snap it. Show it

Na atleast kipindi hicho watu walikuwa wanaanzisha threads za maana na watu wanatoa comments za maana, siku hizi naona utoto mwingi na members wengi wa zamani wamepotea mmebaki ninyi wachache mnaoienzi JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani daaah those days acha tu[emoji134]
Usipoingia jf unajihisi kuumwa.
 
Mkwe acha kunisingizia jamani, sijapokea mahari yoyote hadi sasa. Nilikuwa nasubiri yako tu.
 
Sasa hivi naambiwa "mke wangu alikuwa HS" jamaniii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkwe wangu mswahili kuliko wooote[emoji134][emoji134]
Ukanifanya nikaandaa parking mwisho ikaota majani na kuwa kichaka. Sasa hivi nalima tu mbogamboga.

Heaven Sent ukuje mumeo kafufuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamoo zilipendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…