Lol Hahahaaha ndiyo na vihela siyo hela.
Karma, Kwioo maanake nini? [emoji2][emoji2][emoji2]
Toto tundu am missing you!
Nitume kwenye bus gani Anne.
Sijui ntazipataje ila fanya mpango kwa kweliNitume kwenye bus gani Anne.
Ulivo mwembaba lazima una kamguu kembamba. Sasa kiatu kinachoingia mguu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwako kitakuwa kama zile rain shoes.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulivo mwembaba lazima una kamguu kembamba. Sasa kiatu kinachoingia mguu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwako kitakuwa kama zile rain shoes.
[emoji7][emoji7][emoji7]Unaona huo mguu ulivo mpana?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Haya jiandae kukipokea.View attachment 1370786
Nilipata ban sasa nmerudi kundini niliwamis sana wadau wa selfika
Sent using Jamii Forums mobile app