Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Late for for breakfast?
20200226_102326.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi natamani sana kutembea na wewe hasa kwa upande wa kulia wa barabara ili kusudi tuweze kuyaona vizuri magari yanayokuja mbele yetu

Karma
Poa basi mi nipo tayari kukutembeza upande wa kulia kushoto na katikati mpaka chini sitaki kabisa kusikia umegongwa upande mwingine.
 
Back
Top Bottom