Mimi nauelewa huu uzi vizuri sana.
Phase zote hazinipi favor, maana sura ya kutuma sina, wala vitu vya ku-show off sina.
Ila nafurahi na napata changamoto ya kujibidiisha ili nipate cha angalau kujipa nacho matumaini.
To me it is inspirational thread.
Napenda pia kwamba ni thread isiyo na negative vibe, watu wako positive na wana appreciate kila kinachopostiwa humu.