Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,417
Nzuri tu, busy sana yaanii. Busy ndefuuuuuuPoa kabisa shem, za kufichwa?
Na usije kuniomba[emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] niwachee hebu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapi tena ,Rafiki
Yapi tena ,Rafiki
Hahahaha, sasa inabidi usilale usubiri muda ufike natupia
Hahahaha, sasa inabidi usilale usubiri muda ufike natupia
Ndio naiweka muda huu[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] kha mie ndiyo nalala hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] I see you daughter of god,, na mie sijui nibadili username tu jamani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha Mipango
Ameena....!!!Heri ya mwezi mpya February π.
Mwezi February ukawe mwema kwenuπ
Ulinzi wa Mungu uwe juu ya kila mmoja wenuπ
Afya njema ikawe kwa kila Mmoja wenu π
Mungu akabariki kazi za mikono yenu π
Natamka baraka za Mungu kwa kila Mmoja wenu
Akubarikini mwenyezi Mungu Baba Mwana na Roho mtakatifu ππ
Ndio naiweka muda huu