Selfika na JF: Snap it. Show it


Soma tena mkuu, sababu ya kukichukia kiswahili sio vita, bali matendo ya kiuovu ya wanajeshi wenu kwa raia. Na since wanajeshi walikuwa wanatumia kiswahili, wakaunganisha lugha hiyo na uharamia.

Kwa kigezo chako cha shilingi, unadhani wakenya wana haki ya kusema ulichokisema kuhusu Tanzania?
 
Huyo kaka ni mnyakyusa huwa anapost video za wanyama wakifanya matendo halafu yeye anaingizia sauti yake anakuwa anaongea kwa niaba ya hao wanyama huwa anachanganya kinyakyusa na kiswahili sasa anavyoiongea ile lafudhi ya kinyakyusa utacheka ufe,, ndiyo ameanza kuibuka siku hizi na naona watu wanamkubali yaani wanamfollow kwa wingi..
Hapana nkamu. Anashughulika na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu kwa ile comment nilihisi tu mtu unayemuongelea ni mnyakyusa ila ndo nikawa sijui ana issue gani. Ntamtafuta nimcheck maana sipati picha na ile lafudhi yetu
 
Yeah kaka nimekuelewa sababu kuu siyo vita lakini chanzo ni vita,, maana isingekuwa vita hao wanajeshi wasingefanya hayo mambo..

Ofcourse wakenya wana haki ya kusema hayo kwetu maana ni ukweli,, kwani hata wewe hauoni namna wanavyojishaua sababu hiyo..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie si mnamuangalia sjui Zari ndo mnaona waganda wote wanaringa,mm nimekaa nao miaka 5 nawajua vizuri wala hawaringi,wanawapenda Watz Ila usilobe ukakngia mikononi mwa polisi wa kule.
 
Maisha kweli kule ni rahisi kidogo kuliko bongo,kule vyakula bei poa,usafiri hamna kujazana kwenye daladala Kama bongo yani kule mnakaa level seat,na pia gari sjui kwa nn wanauza bei rahisi namna hiyo coz unaweza pata gari ya million 3 za Ug gari Kali ambayo huku Tz bila m 10 hupati.
 
Hahahaha mkuu kati ya watu wanaoringa utasema Zari naye anaringa kweli?? Kwanza Zari siyo mganda pure amechanganyika mataifa manne kutoka kwa wazazi wake na ameishi sana South Africa kwahiyo ana uzungu kidogo na wala haringi!!

Mie nawaongelea wale waganda wenyewe pure mwee mwee mwee
Nyie si mnamuangalia sjui Zari ndo mnaona waganda wote wanaringa,mm nimekaa nao miaka 5 nawajua vizuri wala hawaringi,wanawapenda Watz Ila usilobe ukakngia mikononi mwa polisi wa kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si umeona sasa mkuu,, kwahiyo mimi binafsi siwezi kuishi nchi ambayo Tanzania tumeizidi kimaisha kwangu mimi ni sawa na kuruka jivu halafu eti nikanyage moto..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…