Hebu fanyeni mpango jamani nami nipate ka verosa ka kwenda sokoni [emoji848]
Karma fanya hiyo harambee pulizii
Ongeza sauti jamani mkuucckarma do the needful
Hahahahahah
Ya verosa jamani dear
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]we endelea tu
Mimi najuaga ni kachalii tuuleo nipo kwenye mood flani hivi halafu
kuna watu wanajuaga nina limwili hilooo [emoji28]
Pole mnoo dearNipo home naumwa. Maombi yenu tafadhali!!
View attachment 1329840
[emoji938][emoji938][emoji938]
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
chaliiii baabuu yakooo 😅Mimi najuaga ni kachalii tuu
Nitume kwa bus gani yenye inafika haraka [emoji848]tubadilishane wewe nipe kikapu mimi nakupa hili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]chaliiii baabuu yakooo [emoji28]
KIMBINYIKO 😅Nitume kwa bus gani yenye inafika haraka [emoji848]
Weka picha Basi controla.[emoji7][emoji7][emoji7]
haya tulia ebu mbona kwako nmeambulia kuona unywele tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KIMBINYIKO [emoji28]
Hujaiona hadi saivi kweli>?
sasa picha ya kikapu sijaiona,usije kuta unantumia kisalfeti🤔[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo niko na dereva hapa kuna dogo namtumia mzigo!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa picha ya kikapu sijaiona,usije kuta unantumia kisalfeti[emoji848]
Tupia nyingine[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Hujaiona hadi saivi kweli>?