Kuna mtu kaniuliza mbona hajawahi kuniona kanisani . Nikamjibu, hakuna namna ningekubali eti missus kapata mimba bila kuingiliana na mwanaume au kwa njia za kisayansi. Ile hadithi wanatuambia kwenye kile kitabu ilileta maana utotoni tu. Hiyo ni moja kati ya mengi yasiyoleta maana kwangu.
View attachment 1327388