Swali gumu hili. Maana hua wanabadirisha Mazingira kwa CGI and VFX technology ili kufanya kitu kifanane na kitu fulani.Vers, ni movie/series gani imechezewa Whitehouse?
Nahisi wanafanya hivyo.Swali gumu hili. Maana hua wanabadirisha Mazingira kwa CGI and VFX technology ili kufanya kitu kifanane na kitu fulani.
Ukweli hakuna muvi iliyochezewa WH..ila hua wanachukua tu front view halafu ndani wanafanya tu setting ya mazingira.
So hua na-imagine kua niko WH
Hadi ndani nimeingia sana kupitia series na muvi mbalimbali..
Hairuhusiwi..Nahisi wanafanya hivyo.
Maana sidhani kama pale wa naweza ruhusiwa
Hairuhusiwi..Hivi zile movies na series huwa wanaigizia kwenye white house kweli na wanaruhusiwa kabisa ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali gumu hili. Maana hua wanabadirisha Mazingira kwa CGI and VFX technology ili kufanya kitu kifanane na kitu fulani.
Ukweli hakuna muvi iliyochezewa WH..ila hua wanachukua tu front view halafu ndani wanafanya tu setting ya mazingira.
So hua na-imagine kua niko WH
Hairuhusiwi..
Basi tu hua nasema napajua ila ukweli sio pale tunapoona kwenye muvi
Kwanini ulijiita akili ndogo sana?.Nikihitaji chumba self contained hapo WH bei ikoje kwa mwezi.
Je nikitaka chumba cha choo cha kushare bei ikoje?
Kiduku na Middle easterners wangepata point 3 za muhimu mapemaaa..Khaa nilitaka nishangae eti from nowhere watu waruhusiwe kuigizia kwenye jumba jeupe kizembezembe tu !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeelewa Vers.Hairuhusiwi..
Wanatumia Technology tu kufanya resembling
Tuache kuita majina ya kushusha watoto thamani pindi wanapokua wadogo..ndio kinachotokea hiki. Mwisho unazlishi watu kama JokerKwanini ulijiita akili ndogo sana?.
Kiduku na Middle easterners wangepata point 3 za muhimu mapemaaa..
Si mchezo. Wakiruhusu wanaweza ingia hadi waovu wakafanya yao.Khaa nilitaka nishangae eti from nowhere watu waruhusiwe kuigizia kwenye jumba jeupe kizembezembe tu !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni nickname yangu ya shuleni.Kwanini ulijiita akili ndogo sana?.
Kuna muvi nimesahau jina watoto wa shule walienda HW. Moja ya watoto baba ake alikua anafanya kazi hapo kwenye idara ya Usalama. Magaidi wakatumia nafasi hiyo ya watoto kufanya yao humo ndani.Si mchezo. Wakiruhusu wanaweza ingia hadi waovu wakafanya yao.
So you're living with your failure experienceHii ni nickname yangu ya shuleni.
Si mchezo. Wakiruhusu wanaweza ingia hadi waovu wakafanya yao.