Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nawasalimia misukule wote wa bwana Mshana jamaa anatugeuza anavyojisikia tu,

miminimama nimekuona aisee bonge la zigo
Saint anne imebidi nikusave bado natafuta gukitambi gulipo
Hawachi umejikausha picha yako inatakiwa
Sakayo naona muguu upo, jana kasura kalinibariki sana

Ntarudi
Mimi niliweka mwanzoni mwa uzi ila kwa niaba yako best yangu nairudia
IMG_20190930_192124.jpg
 
Back
Top Bottom