Ni huyu wewe au yule shangazi wa Mbeya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati yako mbaya, subiri Pasaka....afu hiyo January naomba uanze kujipanga mapema [emoji30]
Sakina siku hizi imekuwa ya kishua?
Nitoe ushamba ndo manini hayo,yakuwashia moto au taka.🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Years and years, probably since 2000
Nakuja🏃♀️
Years and years, probably since 2000
Nitoe ushamba ndo manini hayo,yakuwashia moto au taka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoto wa siku hizi bana na nguo zao mweee [emoji2296][emoji2296]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee baba hiyo suruali ulipoivalia...