Shee wewe sio wa kunifanyia hivyo[emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtunane bwana! Naibiwa mkuu! Watu wamepanda dau na sikukuu hii..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msafiri: Konda mbona gari haina siti
Konda: Ungekuja nayo toka kwenu
Msafiri: Mxuuuuuu, nishushe nimesema nishusheeee
Wasafiri: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jina gani kaka yangu?Naomba hilo jina life kwanza, tuendelee!!
Mkwe lini umeanza usanii?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msafiri: Konda mbona gari haina siti
Konda: Ungekuja nayo toka kwenu
Msafiri: Mxuuuuuu, nishushe nimesema nishusheeee
Wasafiri: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio.Huyu mkwe sijui kanyimwa chenji leo, ana biti sio ya nchi hii
Nipo mama, wewe ndio unafichwa hatari.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtunane bwana! Naibiwa mkuu! Watu wamepanda dau na sikukuu hii..
[emoji3][emoji16][emoji3][emoji16]wapiii!nipo halafu huaga busy na marble king tuNipo mama, wewe ndio unafichwa hatari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16]wapiii!nipo halafu huaga busy na marble king tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kunisingizia jamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hahahaha, Mzee mwenzangu ,hapo sema ulitekwa na watu wasiojulikana
Hivii si ulikuwa umeokoka mdogo wangu?
that's my sweet c'ssy now.!!Asante jamani dear
Hahahahahathat's my sweet c'ssy now.!!
Huyu dada mpole ndo nimemzoea sasa.!
Finally..!