Bora umekuja saa ngapi nije home ππ π π
Nikajua utanipa maneno ya faraja na ki mpesa juu, ndo kwaaanza kamtu kanasema afadhali..!!
Same to you lil sis.!π
Hahahaha, nakuja na samaki wa kukaanga ,tumalize sikuMpaka mda huu bila bila wallah ngoja nibandike mboga ya taifa(maharage)
Roho inauma siku kama ya leo nile harage mkuu ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], bandika Kama Back up , Baadae Kama Kawa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wine na dagaa.!!?πππKaribu, nimesonga ugali hapa na dagaa mlenda. Njoo na wine, beer utazikuta huku huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nunua hata kuku wa kizungu wa buku kumi tuje kumpikeππHahahaha, nakuja na samaki wa kukaanga ,tumalize siku
MTC | 101| [emoji769]
Ngoja nisome ramani mumie halafu nitakujulisha, Mimi na wewe hatutupani kamwe si unajua.!!Bora umekuja saa ngapi nije home π
Wine na dagaa.!!?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo pesa ya wine tununue tu nyama hakyamama!
Utakuwepo tu tunakimbiana mpendwa leoππA very wonderful day to you my fam..! π π
Karibuni nyumbani, (kama nitakuwepo lakini)π
Sawa nanunua wa kienyeji Kabisa, sema na nn kingine nibebe ,niko mwenge sokoni hapaAisee nunua hata kuku wa kizungu wa buku kumi tuje kumpika[emoji1][emoji1]
Hahahaa.!Utakuwepo tu tunakimbiana mpendwa leoππ
Hahaha,Umenifanya nicheke sana aisee. Dagaa wanaweza kulewa na kuleta fujo tumboni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchele ule wa morogoroππSawa nanunua wa kienyeji Kabisa, sema na nn kingine nibebe ,niko mwenge sokoni hapa
MTC | 101| [emoji769]
Naona wapendwa wote hawapo Atoto anachungulia commentsWatajificha wote Leo hutoamini,
Wakishashiba jiooonii ndo wataanza kujitokeza.!!
Naam ,na mazaga zaga yoteMchele ule wa morogoro[emoji1][emoji1]