Nenda jeshini...ikitokea mission ya Lebanon ndoto yako itatimiaDaah ningekuwa na hela ningeenda kutembea Israel kuanzia Bethlehem alipozaliwa Yesu hadi Jerusalem alipouawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha...Hahahaha
Nini sasa, hy ni ya supu nakutumia ya sadaka ,kisha ya kula bata au unasemaje
Maisha ndio haya haya
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha hy subiriaHaha...
Sawa mpendwa, ya sadaka kanisani nilishaenda jana, nasubiri ya kula bata kwa Tarimo
Hapa sasa ndo mahala pake...nyama nyama nyama...mate yashantoka hapa
Hahahaha ,pesa madafu
Hahahaha yanini upate tabu ,hebu leta hy bill tuone gharama
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha ,kwani wewe hujaalikwa?
MTC | 101| [emoji769]
Nenda jeshini...ikitokea mission ya Lebanon ndoto yako itatimia
Ya mangi mtu chake akutumie hela ya pepsi
Haya hebu njoo huku chemba shem wakeShem nakusabahiπ€π€
π€π€
Ntakualika eid ikifika
NyamaHizi ni chips maini?
Start preparing for next year. I know it is possible and you dont have to be a millionaireDaah ningekuwa na hela ningeenda kutembea Israel kuanzia Bethlehem alipozaliwa Yesu hadi Jerusalem alipouawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Shenzi ππππππππ[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]kwanini niishi kwa kamari??
Sent using Jamii Forums mobile app