Muwekee picha yako [emoji3]
Ndio nashangaa hotel yenye hadhi hiyo inakosaje simu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji23] Una akili sana, tena Mara nyingi namba yake huwa Uno [emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nyoo 😂😂😂😂
Ndio nashangaa hotel yenye hadhi hiyo inakosaje simu[emoji134][emoji134][emoji134]
Nyoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Suu....anza kuiweka WhatsApp
Hizi ni chips maini?
Suu....anza kuiweka WhatsApp
Hivii Xmas ya mwaka huu imekuja ghafla kwangu tu ama? Maana nyumba nzima nimejikuta nipo ndani peke yangu kama utumbo..!!
Sasa hii si ndio poa...hakuna fujoHivii Xmas ya mwaka huu imekuja ghafla kwangu tu ama? Maana nyumba nzima nimejikuta nipo ndani peke yangu kama utumbo..!!
My one girl army..
Siyo raha hata, ni kuboeka!!Sasa hii si ndio poa...hakuna fujo
My one girl army..
this soul has missed you die..!!
Unaendeleaje mdogo wangu?
Ni gani inazuia ww enda kwa church?Siyo raha hata, ni kuboeka!!
Bora ningekuwa japo kanisani!!
Haha..!!Naendelea poa sis sijui wewe,, christmas hii unaninyima nini jamani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha..!!
Sijakunyima chochote this time, at least ningekuwa nyumbani na familia ndo ningekuringishia hadi ukome!!
Ni 'situationship' rafiki yangu, si wajua kanisani ni suala la utayari wa kiroho kule huendi tu ili kuongeza namba!Ni gani inazuia ww enda kwa church?
Ndiyo Don C nakumbuka, mpaka nimeona haya!!Wewe na mimi tuna pending issue, unakumbuka?