Haha daah hivi mfano kama man u hawachezi halafu kuna mechi tu nyingine mfano labda derby la liverpool na everton siruhusiwi kuchagua timu moja hapo ya kushabikia??