Fumba macho, inzi iko ingia.
Beer ya ngapi hiyo? Naona ushaanza kuulizia kafika wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Naona anakuja huyo anakuuliza eneo la tukio umefika wapi. Hongera mwamba. Jumapili yako itakua njema sana
Biblia umeenda nayo church na hujaisoma hakika hahaha
Hebu huko!!!Nataka nipost picha; umejiandaa kutoka JF?
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Nakulipa na haiba baadaye. Jiandae kutoka JF
Ashukuriwe Mungu.Shingo mamiii imejua kujishepu vizuri
For future refference au[emoji134][emoji134][emoji134]
Daah mimi Liverpool naipenda sana ndiyo maana hata nilifurahi wao walivyochukua uefa ila wewe ndiyo unanifanya niichukie muone kule hama hiyo timu hebu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji41][emoji41]Nini wewe mtoto?
zhong cai
Hujambo?[emoji41][emoji41]
Hii ni dawa ya nini
Ujue bado nina birthday vibes hadi mwaka mpya; sasa nina vibe ya kupost; nipost nisipost?[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hebu huko!!!
Mkuu ahh sio mchezo nimeona vitu sijavielewa kabisa zaidi ya chupa mkuuUmenichekesha sana [emoji23][emoji1476] sipati picha na rangi yake Ulivyowaza.
Sent from my iPhone using JamiiForums