Mamboz corner
Ulipata ticket ya treni to moshi?
Cc Mshanajr tuandikie uzi wa machimbo ya vyakula vitamu
N.b mi ni mvivu wa kuandika na kuwaza Cha kuandika
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeanza?!! Emu niwachee
Nilikuwa natembeaHahaha...
Camera inacheze cheza sana...!
Sawa,ngoja nisogee kwa mangi nianze siku
Mzee mwenzangu toa code uko wapi ? Nina Visa ya kutoshaKaribu mpendwa [emoji1635]
EnheeeeeeeMamboz corner
Yeah mkuu. Na ukijani wakeUliepue kikiwa kibichibichi vile?
Hivi upo huku visiwani now??
Sawa,ngoja nisogee kwa mangi nianze siku
MTC | 101| [emoji769]
Hahah
Mshana Jr labda akutajie machimbo wanapokutana vilingeni
Hahahaha, mie Nina hamu nazo Leo, tatizo hapa kwa mangi mvua sasa
Hahahaha, mie Nina hamu nazo Leo, tatizo hapa kwa mangi mvua sasa
MTC | 101| [emoji769]
Good idea