MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,125
Mkuu wewe unasema kipenzi chako pombe, ukimpata mtu km chiqutitta akikwambia uwache pombe unaacha bila ubishi
Mkuu acha pombe mkuu hahahahaha
Si kweli huyo amekubuhu mtu huyo hawezi badilika[emoji3]Mkuu wewe unasema kipenzi chako pombe, ukimpata mtu km chiqutitta akikwambia uwache pombe unaacha bila ubishi
Mkuu acha pombe mkuu hahahahaha
Shem kwani mimi sikukufadhili jamani[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Iweke tu kapuni bro. Maisha haya, kuna mmoja alikuwa mfadhili wangu juzi kanitafuta nimtoe laki. Nkakumbuka alivyonifadhili, bila hiyana nkafanya muamala mkuu.
Poa mkuu pamoja
Kayumbishwa mkuu
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]You have tried mkwe...but sorryyyy that aint right
Halafu mkwe umeshaacha kuninunia?
Nyie nae acheni kumuweka majaribuni[emoji23]Kwa hyo hivyo vidole vya mtoto hata akija piem humjibu mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pampula leo umefufuka!!!Haya mambo ni hatari mkuu..niloshaachwa na bus[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utoto raha.Throwback Thursday! Baada ya kuanza kuathirika na utandawazi. Nilinunua pair mbili za Viatu , rangi tofauti halafu nikawa navaa Kila mguu rangi yake. [emoji41]
View attachment 1297368
Sent from my iPhone using JamiiForums
Daah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] huendi mbinguni hiyo si p.hurb
Sent using Jamii Forums mobile app