Selfika na JF: Snap it. Show it

nigga if you pulled this one off...then upo kwenye ligi zangu...hat off!!!
Bob! These things are one of my favourites.

Maisha yaleeee ya chuo, hii mambo ilinisaidia sana mzee. Nimepigika kinoma sina boom wala nini, mimi na akili zangu tu za darasani. Kwa hiyo nikienda "kudiscuss" na watoto wa kitasha huko huko tunatoa kitu maisha yanaendelea.
 
Kaka baada ya kutoka chuo nadhani nilimaliza na shahada tatu,

Moja ni ile ya chuo, ya pili uchef na ya tatu naiweka kapuni...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…