Ukweli upi unaotuchoma mbona hata sie tuliisifi ila dharau zako ndo zimekufikisha hapa na pic ulopost leo nimeiona.....unapenda wenye swaga wakati mtu mwenyewe huna swaga
hamna raha kama unagombana na mtu alafu unamchora...
Mkuu hapo ndio nimekuelewa yani wewe majibu yako simple sana ... Wanakujibu kwa hasira na kujifariji, ngoja niishie hapa maana nishatukanwa na kugombana na wanawake siwezi