Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Hivi naruhusiwa hapa kuweka namba yangu ya whatsapp kwa mawasiliano zaidi ?
Sent using Jamii Forums mobile app








Huo ni uamuzi wako mkuu!! Ilimradi asiziweke mtu mwingine!!
Wewe hutaki kutupa tabu kidogo ya kukisia sura yako?!
Mimi ni bachelor sasa naweza kuweka picha then Mungu akatia mkono wake nikapata mke hapa hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka
Sawa Mkuu, weka!!Mimi ni bachelor sasa naweza kuweka picha then Mungu akatia mkono wake nikapata mke hapa hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huna hata comments!!Ngoja kwanza nihakiki post zangu kama nimeshawai kuvunja sheria maana naweza kujikuta namalizia mwaka mkadurumo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,halafu mwambie aje huku nina zawadi yake.
Yaani kama ulikuwepo,.... meandika kabisaa, as soon as possible!!
Nipo mimi jamani kipenzi