Selfika na JF: Snap it. Show it

Hehehehe sasa ukiniacha mwenyewe si ndiyo itakuwa umemkabidhi kichaa rungu tena katikati ya soko [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] yaani nitajisevia kila kilichomo humo ndani na vyenye napenda kula mimi uwii naomba niwe mgeni wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani kukuacha ndani mwenyewe sh ngapi?
Na ambavyo sipendi usumbufu!!? Yan ni ghafla tu utashangaa sipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu Christmas.... bora ubaki unahangaika na vyakula kuliko unisumbue mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…