Picha yako yenye mwanya ni mzuri kuliko huyo mzungu.
Miguu ya kapeace kwenye ile picha kapigia white ni mizuri kuliko ya huyo mzungu. Endeleeni kutupa ladha za nyumbani.
Jamani huu uzi ni mtraaaaaaaaaaaaaaam.
Kumbe ndio maana nyuzi nyingine hazina wadada maana mmejificha huku.
Sasa ngoja nimalizie kibarua nirudi nyuma nisome comments.
Ukweli upi unaotuchoma mbona hata sie tuliisifi ila dharau zako ndo zimekufikisha hapa na pic ulopost leo nimeiona.....unapenda wenye swaga wakati mtu mwenyewe huna swaga