Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nakufinya kweli, ulijuaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakuelewa vizuri sana jamani, unaweza fanya jambo ukaona umemfurahisha mzazi, akakuita vizuri mbele za watu unaenda huna hili wala lile weeeee hicho kifinyo sio cha kawaida!!

Yaaani wewe ndo mekuwazia mamangu kabisaa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamama wa kiafrika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…