Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹😹 Mi adui yangu Pesa tu!
Na huyu mpuuzi pesa anajua kuninyoosha mpaka natamani kutema bungo..!!

Kule siasani kuvurugana kawaida, nishazinguana na wengi halafu baadaye tunaendeleza mapambano..!!
I know zama za ma bifu zimepita

Mchawi sasampa 🔥
Sasa itakuaje na mimi nije kupanda ngamia😍
 
Back
Top Bottom