Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 5,030
- 12,756
Acha wivu😂😂
Kwanini umeenda mwemyewe kwanza
Acha wivu😂😂
Yes Kapachino napenda amani mnoo si unaona hata sura yangu ya upoleee😊Dahh maneno yako tu yanaonekana unapenda amani sio mtu wa vita basi sawa usibadilishe tabia yako kwa sababu ya wao.
Sheynziiiiiiii wewe lol 😆Nimekua nikijiuliza mbingu Ina malaika wangapi? Maana mmoja ameshuka hapa selfika.
Exactly ya nini kutunza vinyongo kwenye jukwaa dogo kama hili badala ya kutunza sasampa we uliona wapiii😁kuhusu kutofautiana mnacho kiamini katika majukwaa ni kawaida sana na hasa katika siasa! Nimefurahi Kuona mlitofautiana at the end of the day as if nothing happened hapo mre act kama sisi men tunatofautiana lakini sio kigezo Cha kuacha ongea, ama gombana
😹😹😹 kuna nini chino?Kuyamaliza hamuwezi!
Au Kila mtu ana egle nani amuanze mwinzie? Alafu hizi bifu nyingi zipo sana kwa ke jf, au we sio ke mwenzio ni njemba!
Ukipigwa burn chino atakupatia wapi tena? haha Lamomy mwenyewe haelewiki Kuna siku anaamka kapuliza ntakua nakimbilia wapi
😹😹😹 Ko nimelanduka?Binadamu wanaposhindwa kukufikia kwa hoja, wanajaribu kukushusha kwa maneno!!
She hivi she vile? Inakuja kama umeruhusu watu wakujue nje ya hapa na kama ulifanya iyo mistake never do it again! Hata ukiruhusu mara ya pili kwa wingine trust me ipo siku utaleta shuhuda nyingine.
Kwanza sasa hivi watu wanatekwa sana wanapotea sana. Kuna jamaa mmoja kauliwa huko Arusha wanadai na dada mmoja aliyemuamini anaitwa Jojo walikutana TikTok huko.
Alafu na usikae kinyonge haha imbinu nyingine chukua, ukikaa kinyonge utapopolewa sana Kuna mda randuka tu kama Lamomy
Hahaha embu niione vizuriYes Kapachino napenda amani mnoo si unaona hata sura yangu ya upoleee😊
Wakikuchokoza Allah tabarak aendelee kukupa ustahimilivu;Sheynziiiiiiii wewe lol 😆
Nikichokozwa nakua ibilisi we haya 🤣
Thursday Leo usijali tbt za kutoshaExactly ya nini kutunza vinyongo kwenye jukwaa dogo kama hili badala ya kutunza sasampa we uliona wapiii😁
Kapachino haya pita sasa nikuone chap kwa haraka
Njoo tulale mchuchu 😹😹Leo sijakuona siku haijawa poa hata kidogo
Tupia basi sasa hivi kijana mdogoHahaha embu niione vizuri
Wakikuchokoza Allah tabarak aendelee kukupa ustahimilivu;
unajua watu mliojaliwa nyama nyama mna vifua na roha hampaniki haraka
Thursday Leo usijali tbt za kutosha
😍🔥🔥 hapa ndio huitwa kwa bed et 🫢Njoo tulale mchuchu 😹😹
Mungu mkubwa, ashukuriwe bey.😹😹😹 kuna nini chino?
Mbona mnataja ban?
Huyo mtu hiyo siku naomba msipopoane mpaka refa niwepo puliiiiizz 😹😹😹Exactly 👏
Noted ✅️
Inasikitisha tumefika pabaya sana 😢
Hili nakuahidi kuna mtu mmoja siku akiingia kwenye 18 hiyo siku nitapigwa bani ya maisha total kukanyaga JF
Hua najiepusha sana kumuongelea mtu binafsi kwa ku m attack mambo binafsi ila kwa huyo mtu sitakua na msalie mtume no matter what
Nitakua tayari liwalo na liwe
Naombea yote hayo yasitokee kwa sababu hizo sio njia zangu
My heart is very clean like snow kwa mtu yoyote yule sina wivu sina chuki
Ila nitajilinda kwa namna yoyote ile nikiona tishio
Nishaamka, kuna mpya gani? 😹Ngoja aamke
Hapo chabo linapigwaje kwa mfanoNjoo tulale mchuchu 😹😹
Habib come to bonyokwa 😹😹Kwani Dubai sasa hivi saa ngapi
Watu wanaishi Amin kwamba😍🔥🔥 hapa ndio huitwa kwa bed et 🫢
😍🔥🔥 hapa ndio hitwa kwa bed etNjoo tulale mchuchu 😹😹
Umdhaniae ndie sie ujue heaven gelo 🤣 huyo mtu hutaamini macho yakoHuyo mtu hiyo siku naomba msipopoane mpaka refa niwepo puliiiiizz 😹😹😹
Mi najua lazima itatokea ni suala la muda tu!
Wote mna sumu moyoni, mzitoe muwe free..!!
Nanimeeotea huko juu kwell sasa hivi nakujuliaHabib come to bonyokwa 😹😹
😹😹😹😹 Mi adui yangu Pesa tu!Sasa tumalize nini
Mi sina shida na mtu ukiona sielewani na mtu yeye ndio ana shida na mimi hilo nina uhakika
Sijawahi kumsema mtu kwa ubaya
wala kudhamiria kumsema mtu vibaya
Sasa hii haina maana kua mimi mnyonge sipendi tu uswahili na magomvi yasio maana
Sahau sijawahi kuanzisha mgogoro labda nianzwe na hata nikianzwa muda mwingine hua na escape
Sina bifu na mtu kabisa
Awe ke au me napenda amani itawale
Ndio maana utakuta nakemea ma umbeya na ugomvi
Tuna mambo mengi ya kufanya
Sitapigwa bani bana 😊
MF : huyo mkeo mkubwa majuzi kati huko siasi tulitofautiana mitazamo
Lakini after hapo life linasonga
Kama hakuna kilichotokea
Yaani hapo chino we kaa kando tu aiseee huambuliii 🤣Watu wanaishi Amin kwamba
Kuna kuishi na kuisha
Upo wap kwanzaAcha wivu😂😂
Kwanini umeenda mwemyewe kwanza