Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,382
- 58,842
Mwaka gani hiyo ? Mimi macho nilishapona tangu mwaka 2013nime kumbuka ni wewe mgonjwa wa macho mkazi wa magomeni
Enzi ambazo nilikuwa naumwa macho 2009 mpaka 2013
Mwaka gani hiyo ? Mimi macho nilishapona tangu mwaka 2013nime kumbuka ni wewe mgonjwa wa macho mkazi wa magomeni
Uwanja wako 😀😀😀
nimepiga ila simu hamjashika wew na spider ikabidi niendelee na issue nyingine😆Uwanja wako 😀😀😀
Mbona mnabip sana hata hampigi
Tupo hapnimepiga ila simu hamjashika wew na spider ikabidi niendelee na issue nyingine😆
umechelewa mpka nimefutaNmekuja boss wangu
ya mwisho hiiTupo hap
Kwani ukipiga na kuiacha kuna shidaaa ina maana tukae humu kama Walinzi?nimepiga ila simu hamjashika wew na spider ikabidi niendelee na issue nyingine😆
ndio kwani kuna ubaya kulinda uzi?Kwani ukipiga na kuiacha kuna shidaaa ina maana tukae humu kama Walinzi?
Mbona niko hapa na nimepitwa🙆🏽♀️hii naked kabisa, ulisema unanifananisha na nani? spidernyoka
Miriam magesehii naked kabisa, ulisema unanifananisha na nani? spidernyoka
who is she nikamgugo au ni jirani yako wa kwenye migebuka?Miriam magese
poleee au ulisinzia😅Mbona niko hapa na nimepitwa🙆🏽♀️
Khee ili ugundue nini😂Nawaza hapa kila mmoja apite na uso wake og ukiwa na tongotongo zake na michirizi ya mate mdomoni 😆
Mguguwho is she nikamgugo au ni jirani yako wa kwenye migebuka?
Ni Mirren Magese au Happy Magese miss Tanzania mwaka 2001 kama sikoseiwho is she nikamgugo au ni jirani yako wa kwenye migebuka?
oooh kumbee, hebu nikamuone huyo missNi Mirren Magese au Happy Magese miss Tanzania mwaka 2001 kama sikosei
Ni millen eeh uzee huu ni 2010+Ni Mirren Magese au Happy Magese miss Tanzania mwaka 2001 kama sikosei
agaaaah😅😅😅,, tu min nakuja na feedbackMgugu