kigori hiyo veeeep wakati nina kg zangu 80😎Bro. Yaan ndan ya miaka 2 uongezeke mara 3 zaidi?.☺☺☺.
Yaan kama umeongezeka na kwa urefu wako huo. Basi upo kwenye kilo 60-65.
Ww bado kigori sana ujue.
Kg 80 hufiki wallah.kigori hiyo veeeep wakati nina kg zangu 80😎
Jamani natamani limwili la namna hiyo ukikutana na vibaka wanakuogopa😁mwili wa saivi unatishaa ni bonge moja la dada wa mirabal minne😎
Aww nimeiona hii aiseew😍nimeona leo tuishi na TBT tu🤗🤗
kweli sijawahi kufika hata 70 japo najitahidi kula ila 65+ ndo nipo saiviKg 80 hufiki wallah.
Ila miraba minne ni kuanzia kg 95+
Ujue nakusubiria ww eti. Sijaridhika bado. 😊😊😊😊.
Na sabato ishaisha
Nimemuona pia.Aww nimeiona hii aiseew😍
plus huu urefu wangu, wakiniona tu wanakimbia mbio😅Jamani natamani limwili la namna hiyo ukikutana na vibaka wanakuogopa😁
Mtoto mkali anafaa kwa matumizi😍Nimemuona pia.
Hana baya.
Umemuonaje mtoto?.
Sema ni raha mtu hajichanganyi kabisa😅plus huu urefu wangu, wakiniona tu wanakimbia mbio😅
ya usafi wa majumbani sio😅 nipeni kazi wakuu nipo tayali💃💃Mtoto mkali anafaa kwa matumizi😍
si ndio😆Sema ni raha mtu hajichanganyi kabisa😅
Sema Dunia hii .Sema ni raha mtu hajichanganyi kabisa😅
Na mengineyo mengi🤣ya usafi wa majumbani sio😅 nipeni kazi wakuu nipo tayali💃💃
Shem uko chupa ya ngapi?😅Sema Dunia hii .
Hapo anatokea mwanaume, anakulaghai , unazama penzini na u-miraba yako minne. Ukifall tu . anakuibia 😂😂😂.
Kuna sehemu wizi unatumia nguvu na sehem unatumia akili.
Shem uko chupa ya ngapi?😅
Halafu huku harusi imeanza tutakosa beer ujue🤣
Aisee kwahiyo hizi beer zaleo nazipataje?🫢Wenge la jana ndio limeisha now.
Niko tu home.
Sijatoka.
Kesho nina harus ingne pale PSSSF tower . Hiyo Ndio ntaenda.
Nakutumia kadi ya kuscan uende.Aisee kwahiyo hizi beer zaleo nazipataje?🫢
Naendaje mwenyewe sasa naww lakiniNakutumia kadi ya kuscan uende.
Usitoe tu macho sana wakaona mzamiaji 😊😊😊😊
Hapa ni mwendo wa kuweka niweke 🥳🥳🔥🔥🔥🔥Naomba Unitag na mm.
Nataka kuona huo U-jihan ulionao 😊😊😊😊