Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wewe ndiyo umesema wanafukuza kakitu kamoya?? Sasa hauwashangai wacheza miereka ambao wanapigania mikanda huku asilimia kubwa wamevaa pichu tu?? [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi waelewa jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndo sijawahi waaangalia!!
Last time niliangalia nikalia sana, sijawahi rudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…