ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,166
- 51,021
Kashapenyezewa rupiaMsimamo mikali kabisa ya ndugu tundulisu wengi ndani ya chadema hawaiwezi, wamezoea siasa za kidalali, siasa za kidalali zinaichelewesa sana nchi hii
Chivundu mutu ya pesa mingi
Kwanza selfika moja tuchangamke humu😹🔥🔥🔥🔥🥳🥳🥳🥳🥳Matraco yako 😹
Ko mi mtu wa pic?
Mbn sioni hio.photo iko wapi 🥳🔥🔥🔥Napita hapa naked kaa kitaalam
Aya nipo area😍🥳🥳🥳🥳😅😅 haya napita sekunde O
Chivundu mapesa😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Mkuu Lamomy, Mallerina na ShesRise_1 wakisikia hii statement itakuwa ngori, na mimi sina chochote. 😊
Chivundu mapesa😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
KwemaNtilu mwandiga wanasemaje?
kuja tumisuwaneNilikumisi sana swahiba
Niliweka live liveJuzi tumesema utupe picha, umekimbia!! 😊
Papa pedesheeeee Chivundu mtu ya kongo pesa mingi mingi😍Mkuu Lamomy, Mallerina na ShesRise_1 wakisikia hii statement itakuwa ngori, na mimi sina chochote. 😊
Hi kampeni inayoendelea niya kipashikunaWe bana tulia hapo, shem anaonekana mambo safi uhakika wa kulala upo ana mjengo mkali..!! 😹😹
Sasa mng’ang’anie Mr mandula uishie kuitwa mpangaji na wakati mjengo wa bure upo..!!
Shem shemNiliweka live live
Shem kwa nani😂maana nishapewa wengi na nyie humuShem shem
uache kuswampa sasa khaaaa😅Aya nipo area😍🥳🥳🥳🥳
Sitoki hapa leo🥰uache kuswampa sasa khaaaa😅
Ndo nmeingia mjini sasa ziwan kumenishindaKwahilo joto niseme tu survival for the fittest 🤣🤣hii elnino kali aiseee