ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,420
- 51,425
Endelea kumpa matumaini sio mbaya πSoon anakupa kuwa mvumilivu
ππππMkeo hata mahari hujalipa wee vipi πΉπΉ
Naniiiii tena huyooooπ€Anatumia iphone 1 kali na hela anazo dyadya.
Asikudanganye, ππππ
Huyo huyo wa kusema anatumia Tecno.Naniiiii tena huyooooπ€
Sawa mume wangu kipenzii. ππSitaki Tena nikuone unajibizana na wajinga. Nakuomba Tena mke wangu usiwajibu. Sawa?π
Aaa huyo ni mdogo wangu hapo wewe ushakua wizo chonde chonde usimuumize pulizzzzzzzHuyo huyo wa kusema anatumia Tecno.
πππ
πππ shemeji yako huyo mume.Ndugu Yako tupo nae Hapa. Wifeπ.
πππ sema kweliii.Aaa huyo ni mdogo wangu hapo wewe ushakua wizo chonde chonde usimuumize pulizzzzzzz
πππ babeee!!Usiogope, nipo hapa mke wangu. Wape nyingine wakuone, nataka ulimwengu wajue kwamba Nina mke mzuriβ₯οΈπ.
Ndio wiiiiiπππ sema kweliii.
Hio ni picha ya mke wake na brother cocastic...Udugu πππ₯π₯
Nimekubamba, kuna mtu alinirudisha way back kucheck mafile ya umbea si pap nikakutana na selfie yako afu hukufuta..!!
Awwwww toto paja limenona π₯π
Hiyo biker sasa ilivyokukaa mpaka Kichuguu nyuma kimebinuka π
100 others haya una lingine?
Tena hiyo ni tbt iko hot
Yaani sijaelewa kati yako na huyo member nani ni mke na na nani ni mme?πππ babeee!!
Hongera kaka kwa kupata mke...ππππ babee jamaniii!! Hapanaa
Msimamo mikali kabisa ya ndugu tundulisu wengi ndani ya chadema hawaiwezi, wamezoea siasa za kidalali, siasa za kidalali zinaichelewesa sana nchi hiiAmejivua nguo kuongea pumba ππΌ